Chagua Parokia yako kwa jina la Mtakatifu wake. Bango litatengenezwa likiwa na jina kamili la Mtakatifu, maelekezo ya kulipa kwa Simu, Kadi ya Benki (Visa/Mastercard) na SMS ya Shukrani ya papo kwa papo!
JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA
MFUKO WA UINJILISHAJI
DEKANIA YA JIJI MASHARIKI
PAROKIA YA MT. PETRO NA PAULO
KIJENGE • NAMBA YA PAROKIA: 10
SKANI KWA KAMERA YA SIMU
TILL: 61246924 (M-PESA / BANK APP)
LIPA KWA SIMU, KADI AU BENKI
TIPS / TANQR
Mastercard
VISA
AMEX
Selcom Pay
Jinsi ya Kuchangia:
1Fungua Kamera ya Simu yako au App ya QR / Benki kisha elekeza kwenye QR Code.
2Weka Jina Lako na Kiasi unachotaka kuchangia.
3Kwa Simu: Weka namba ya simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel, HaloPesa) kisha thibitisha kwa PIN.
4Kwa Kadi/Benki: Chagua Kadi ya Benki (Visa/Mastercard) ukamilishe malipo salama.
Malipo Salama ya TIPS & Selcom SMS ya Shukrani Papo Hapo