Pakua PDF ya A4 Pakua Picha (PNG) Jaribu Link (/changia) Mabango ya Parokia
Jimbo Kuu Katoliki Arusha
JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA

MFUKO WA UINJILISHAJI

SKANI HAPA KUCHANGIA MOJA KWA MOJA
Ukiskani tu inafungua fomu ya kuchangia kwenye simu yako papo hapo!
1-CLICK SMART QR CODE
QR Code ya Kuchangia Mfuko wa Uinjilishaji
mfukowauinjilishaji.org/changia
POKEA POP-UP YA MALIPO KWA MITANDAO YOTE YA SIMU
M-Pesa Mixx by Yas (Tigo Pesa) Airtel Money HaloPesa Benki & TIPS
JINSI YA KUCHANGIA KWA SEKUNDE CHACHE: Kuanzia Tsh 1,000/=
1
Fungua Kamera ya Simu yako (au QR Scanner) na uelekeze kwenye QR Code hapo juu.
2
Gusa link itakayotokea — Fomu ya Kuchangia itafunguka moja kwa moja kwenye simu yako.
3
Weka Jina lako, Parokia, Kiasi na Namba ya Simu ya Malipo kisha bonyeza Lipa Sasa.
4
Weka Namba ya Siri (PIN) kwenye ujumbe utakaotokea kwenye simu yako kukamilisha!
Pia unaweza kulipa moja kwa moja kwa Lipa Namba (Mitandao Yote): LIPA NAMBA: 770700 (SELCOM)
"Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu." — 2 Wakorintho 9:7
Mfumo Salama wa Malipo (Selcom Aggregator) Utapokea SMS ya Risiti na Shukrani Papo Hapo